Share

East Africa Got Talent Mombasa Auditions – #EAGTPoweredbySafaricom

Share This:

Mombasa vipi? Hii wikendi Safaricom pamoja na wadau wa East Africa Got Talent wanakupa nafasi moja shwari. Kama wajiamini na uko na talanta noma zaidi njoo pale Nyali School Grounds upate kuoyesha kipaji chako. Kiingilio ni bure.

Ama waweza tuma video yako kwa WhatsApp line +254 703 437 903.

#EAGTPoweredbySafaricom #NaweKilaWakati

Leave a Comment